Tamasha la utamaduni la Dr Tulia Ackson lafungwa leo kwa kishindo kikubwa wilayani tukuyu mkoani Mbeya

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau wa JF.
Yaliyojiri Mkoani Mbeya Leo kwa picha.
Dr Tulia azidi kuthibitisha ubora wake.
Masahihisho!
Tamasha lilifanyika Tukuyu
Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
 

Attachments

  • Screenshot_20190928-214253.png
    Screenshot_20190928-214253.png
    22.4 KB · Views: 18
  • FB_IMG_15696961225444430.jpg
    FB_IMG_15696961225444430.jpg
    22.8 KB · Views: 21
  • FB_IMG_15696961067691098.jpg
    FB_IMG_15696961067691098.jpg
    27.4 KB · Views: 21
  • FB_IMG_15696960893192141.jpg
    FB_IMG_15696960893192141.jpg
    26.1 KB · Views: 22
  • FB_IMG_15696960969106446.jpg
    FB_IMG_15696960969106446.jpg
    23.4 KB · Views: 18
  • FB_IMG_15696960824484036.jpg
    FB_IMG_15696960824484036.jpg
    18.8 KB · Views: 20
  • FB_IMG_15696960598512425.jpg
    FB_IMG_15696960598512425.jpg
    20.8 KB · Views: 21
  • FB_IMG_15696960756038669.jpg
    FB_IMG_15696960756038669.jpg
    26.6 KB · Views: 25
Hajazika jeneza leo? Phd holder mzima anafanya mambo ya kitoto!!
 
Walokole wa kizazi kipya wana lugha yao wanasema "Jicho la rohoni" hapo wananchi wanafumbwa macho kwa michezo ya kuigiza ilihali sinema yenyewe itaonyeshwa mwakani kwenye kampeni na uchaguzi wa ubunge.
 
Kukaa kwangu kote mkoani sijawahi jua kwamba Mbeya ina wilaya ya Tukuyu. Unyakyusani nazisikia Rungwe na Kyela tu.
 
Back
Top Bottom