Kuna siku Masoud Kipanya huwa anachoka kuchora

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,532
Sasa hapa amechora vipanya vyake vinajiendeaga tu hata havisemi kitu .
20190924_142406.jpeg
 
Watu wanaogopa kusema wakihofia watu wasiojulikana kuwadukua.

Moja ya sifa nzuri kwa msanii ni uwezo wa kazi yake kutafsirika kwa njia tofauti tofauti.
 
Kipanya anachorachora tu kwa vile watanzania nao ni wazembe wa kufikiri wakishindwa kuelewa katuni zake wanamuona ni JINI-AZI.

Mchoraji katuni wa muda wote kwangu ni Kingo (James Gayo).
Namuheshim kaka KP,
Ila namuheshim zaid kwa kuwa yupo multitalented, anawaza sana nje ya box, ana ana uthubutu mkubwa

Ila Mzee James (Kingo) is my number one cartonist
 
Back
Top Bottom