Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Salamu wanajukwaa! Natafuta jina la wimbo unaoanza dakika ya 0:07
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Msanii anajiita Mwijaku amekuwa anaonekana sana Instagram, vipi mbona toka itokee skendo ya Menina ya kusambaa kwa picha za utupu haonekani? Nini kimemsibu Msanii Mwijaku?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Kama heading inavyosema, naombeni kuujua huu wimbo ameuimba nani. Wimbo umeimbwa kwa lafudhi ya Kisukuma, wanaimba: "Kimone mwana masanja ntakununulia cheni gold hutaweka vyombo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I remember I called mama on the telephone, I told mama am getting married I could hear her voice on the other side Of the telephone she was smiling.... And she asked me a question That I...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
[Verse 1] What I fit do to get your love Girl I don give you all I got but it’s not enough for you Shey u fire me catapult of love Na why be say I no fit get enough of you [Hook/Chorus] Wetin...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii maarufu Harmonize leo amehojiwa na binafsi jamaa inaonesha amekua kimuziki maana ametema madini hatare pasipo kuonesha chuki kwa upande wowote ule, hata pale alipokulia kimuziki (WCB)...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Licha ya harmonize kujitoa katika label kubwa ya mziki nchini Tanzania WCB lakin bado nguri wa mziki Tanzania Diamond anaendelea kupiga pesa kupitia kondeboy kwani hata youtube channel bado...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni series gani wafatilia kwa sasa binafsi Nina mtiririko mrefu power s6,Goliath s3,poldark,the walking dead s10 etc nambie wafatilia mzigo gani?????
0 Reactions
8 Replies
2K Views
“Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina” Hayo sio...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Ed Sheeran__Shape of you Ed Sheeran__Perfect Ed Sheeran__Thinking out loud Ed Sheeran__Photograph Ed Sheeran__How would you feel Ed Sheeran ft Khalid_Beutiful people Ed Sheeran__Give me...
8 Reactions
45 Replies
5K Views
Na: Mdharuba J.K. *SEHEMU YA KWANZA* ★★★★★★★★★★★★★★★★★ “Nashindwa kuelewa kwa nini nakupenda kiasi hiki Jay, nahisi kuchanganyikiwa juu ya penzi lako my” Jacqueline alisema maneno haya huku...
1 Reactions
14 Replies
53K Views
Kuna albamu na nyimbo nyingi sana za kikatoliki, lakini kati ya zote, hakuna albamu ninayo ikubali kama albamu hii iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini yenye jina MIMI...
6 Reactions
62 Replies
38K Views
Marehemu Hemed Maneti alirekodi kibao hiki jijini Nairobi mwaka 1981 akishirikiana na mwanamuziki Mtanzania aliyekuwa na makao yake katika jiji hilo wakati huo, marehemu Charles Ray Kasembe...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu? Wapi nitaweza kupata tamthiliya ya If Loving You is Wrong season 3 na 4? Nimejaribu kudowload bila mafanikio. Msaada please.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Uzi tayari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kwa wanaoelewa kimakonde wanieleweshe anachoimba Harminize kwenye wimbo wa KILA MUNU AVE NA KWAO
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza naomba msaada was app nzuri ama website ntayoweza kupakua audio music's.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapenzi wa muziki wa bongo flavour na nyimbo za Dini Naombeni link ya kudown load hizi nyimbo. Aksanteni
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mtunzi Juma Hiza 01 ILIKUWA ni siku ya Desemba 23, tena siku mbili tu kabla ya Christmas, dunia nzima ilijawa na shamrashamra za Sikukuu hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, maduka mengi jijini Dar...
13 Reactions
287 Replies
38K Views
Shalom watu wa Mungu! Natafuta wimbo wa Rev.Cosmas Chidumule uitwao Hossana kwa mwenye nao naomba aniwekee hapa nikiusikia redion huqa unanibariki sana lakini nimetafuta ulbum zake madukani...
2 Reactions
16 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…