Albamu bora ya Kanisa Katoliki

Albamu bora ya Kanisa Katoliki

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,900
Reaction score
37,689
Kuna albamu na nyimbo nyingi sana za kikatoliki, lakini kati ya zote, hakuna albamu ninayo ikubali kama albamu hii iliyotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini yenye jina MIMI NIMEWACHAGUA NYINYI DUNIANI. Baadhi ya nyimbo zinazo patikana ndani ya albamu hiyo ni pamoja na :

1. BWANA YESU WANIITA NIWE WAKO.

2. UTUKUFU NA UKUU UNA YEYE BWANA.

3. MIMI NIMEWACHAGUA NINYI DUNIANI.

4. NIMTUME NANI

5. NIMEMKUTA DAUDI na nyingine nyingi.

Nikisikila nyimbo hizi huwa nawakumbuka sana rafiki zangu nilio fanya nao mafundisho pare parokia ya (jina kapuni ), akina Evarist, Cecilia, Consolatha, Benedict, Polycarip, Africanus na wengineo wengi. We unakumbuka nini ? AU ni albamu ipi ama nyimbo zipi za kikatoliki unazo zikubali zaidi?

TUNAKIMBILIA ULINZI WAKO...............
 
tunazipataje? maana napenda sana kusikiliza nyimbo za bwana.
 
tunazipataje? maana napenda sana kusikiliza nyimbo za bwana.

Nina mpango wa kutengeneza blog au website kwa ajili ya kuweka nyimbo za katoliki za zamani.
 
nyumba ya roho mt kizito...
humo utakuta nyimbo nzito za bernard Mukasa kama YESU NI MWEMA na NYINGINEZO..

album ya NIMEMUONA MUNGU mt kizito

Huyu jamaa ni genius, anaweza sana
 
nyumba ya roho mt kizito...
humo utakuta nyimbo nzito za bernard Mukasa kama YESU NI MWEMA na NYINGINEZO..

album ya NIMEMUONA MUNGU mt kizito

Yan Mukasa ana kipaji cha ajabu.. kuna huu wimbo mpya sijui kama wameshaurekodi unaitwa WEWE NI MUNGU KILA WAKATI. Yan nautafuta kweli yan..
 
Huyu jamaa ni genius, anaweza sana

Yan Mukasa ana kipaji cha ajabu.. kuna huu wimbo mpya sijui kama wameshaurekodi unaitwa WEWE NI MUNGU KILA WAKATI. Yan nautafuta kweli yan..

Hakika ben mukasa amejaaliwa kipaji kikubwa. Sana binafsi nikione cd inauzwa iwe ya kwaya yeyote yenye wimbo wa mukasa nanunua. Na hata kwenye simu yangu nmedownload nyimbo zake baadhi
 
Hakika ben mukasa amejaaliwa kipaji kikubwa. Sana binafsi nikione cd inauzwa iwe ya kwaya yeyote yenye wimbo wa mukasa nanunua. Na hata kwenye simu yangu nmedownload nyimbo zake baadhi

Kweli mkuu. Huwa sichoki kusikiliza nyimbo zake.. ana kipaji cha hali ya juu..
 
nyumba ya roho mt kizito...
humo utakuta nyimbo nzito za bernard Mukasa kama YESU NI MWEMA na NYINGINEZO..

album ya NIMEMUONA MUNGU mt kizito

"Nitasimuliiiia mjini yesu ni mwema yesu ni mwema...nitahubiriii vijijini yesu ni mwema yesu ni mwema...nitayafananua haya...yesu ni......"
.wimbo mzuri sana huu yani unanigusa hasa nikitafakari wema wa Mungu kwangu
 
nyumba ya roho mt kizito...
humo utakuta nyimbo nzito za bernard Mukasa kama YESU NI MWEMA na NYINGINEZO..

album ya NIMEMUONA MUNGU mt kizito

Pamoja sana, kwa hii ya Mt. Kizito
 
mwimbieni bwana zaburi,, albam flani ya Butimba ,,,st peter ostebay nitaipata wapi?
 
TAZAMENI MEZA YA BWANA inapatikana kwenye album gani na ni kwaya ipi iliyoimba? Nataka kununua album yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom