Mnaoelewa kimakonde, Harmonize ameimba nini kwenye wimbo huu?

Mnaoelewa kimakonde, Harmonize ameimba nini kwenye wimbo huu?

Kizibo

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
4,616
Reaction score
10,522
Heshima kwenu wakuu.

Naomba kwa wanaoelewa kimakonde wanieleweshe anachoimba Harminize kwenye wimbo wa KILA MUNU AVE NA KWAO
 
Huo wimbo toka saa 5 asubuhi sijabadilisha, ni huo huo tu
 
Kila mtu ana kwao(kila munu ave na kwao)
Chochonde mkipata msisahau nyumbani(..........) .Hiyo audio sina nakumbuka hayo machache Ila kiufupi anahamasisha umuhimu wa watu kukumbuka walipotokea yaani kwao na familia kwa ujumla pale wanapopata kwani ndipo walipolelewa na kupitia magumu..
 
Back
Top Bottom