Licha ya kujitoa wcb wanapiga tu mpunga kupitia harmonize

Licha ya kujitoa wcb wanapiga tu mpunga kupitia harmonize

dogoodesign

Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
41
Reaction score
21
Licha ya harmonize kujitoa katika label kubwa ya mziki nchini Tanzania WCB lakin bado nguri wa mziki Tanzania Diamond anaendelea kupiga pesa kupitia kondeboy kwani hata youtube channel bado inamilikiwa na wasafi na harmonize hawezi fanya lolote ..
Screenshot_2019-10-24-11-58-07.jpeg
 
Nafikiri hata na yeye bado anapatapo tuhela.
 
Back
Top Bottom