Harmonize ndani ya Clouds FM leo

Harmonize ndani ya Clouds FM leo

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Msanii maarufu Harmonize leo amehojiwa na binafsi jamaa inaonesha amekua kimuziki maana ametema madini hatare pasipo kuonesha chuki kwa upande wowote ule, hata pale alipokulia kimuziki (WCB).

Harmonize amesisitiza kuishi peace na watu ndiyo rai yake. Pia, ameeleza kutakwa kulipa milioni 500 za kuvunja mkataba wake na WCB, ilibidi auze mpaka nyumba ambazo alikuwa anajenga kama 3 hivi.

Kiukweli, binafsi nimependa msimamo wake msanii Harmonize.

Big up brother, huo ndiyo muziki sasa!

FB_IMG_1571923272409.jpeg
 
Hamna alichofanya zaidi ya kwenda kwa mabeberu wa burudani...
Kutoka wasafi ilikua sawa ila Kuwa miss clouds kama moja ya sababu ilo ni tatizo...na muda utasema
Msanii maarufu Harmonize leo amehojiwa na binafsi jamaa inaonesha amekua kimuziki maana ametema madini hatare pasipo kuonesha chuki kwa upande wowote ule, hata pale alipokulia kimuziki (WCB).

Harmonize amesisitiza kuishi peace na watu ndiyo rai yake. Pia, ameeleza kutakwa kulipa milioni 500 za kuvunja mkataba wake na WCB, ilibidi auze mpaka nyumba ambazo alikuwa anajenga kama 3 hivi.

Kiukweli, binafsi nimependa msimamo wake msanii Harmonize.

Big up brother, huo ndiyo muziki sasa!

View attachment 1243150
 
Back
Top Bottom