Bingwaman
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 548
- 288
Marehemu Hemed Maneti alirekodi kibao hiki jijini Nairobi mwaka 1981 akishirikiana na mwanamuziki Mtanzania aliyekuwa na makao yake katika jiji hilo wakati huo, marehemu Charles Ray Kasembe. Santuri inaonyesha kuwa wimbo huu umepigwa na Vijana Jazz, lakini hii si sahihi. Hii ilikuwa ni jitihada binafsi ya Maneti nje ya Vijana Jazz.
Last edited by a moderator: