Wapenzi Wa TV shows za amerika!!!

Wapenzi Wa TV shows za amerika!!!

mchagger

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
867
Reaction score
1,079
Ni series gani wafatilia kwa sasa binafsi Nina mtiririko mrefu power s6,Goliath s3,poldark,the walking dead s10 etc nambie wafatilia mzigo gani?????
 
The Chi ...Kama ni mdau wa mablack americans basi lazima utaenjoy icho kichupa
 
All America
All rise
Power
Empire
Emergence
God friended me


Hizi ndio nafatilia kwa sasa
 
Power
How to get away with murder
The walking dead
Empire hii nimeichoka
 
Wadau nadownload power season 5 kupitia teatv ila kila nikipakua file audio track inakuja ya kiportuguese, na nikitaka kubadilisha hiyo audio track kwenda kingereza hakuna option. Audio track ni moja tuu kwenye hizi file. Kuna mafundi humu wa kuniongoza nikafanikiwa kuweka audio track ya kingereza, maana ile ya kiportuguese siinjoy hata kidogo.
 
Back
Top Bottom