2018
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 547
- 795
Hawa jamaa niliwahafamu mwaka 2018 kupitia movie yao Kali mno inayoitwa #tatuchafu
Nikaangalia nyingine inaitwa #Fisiweusi[emoji2][emoji2][emoji2]
Nikazidi kuwakubali,nikaingia YouTube nikakuta Movie zao nyingine,zote Kali mnoo
Hawa jamaa Movie zao Ni za tofauti Sanaa,tofauti kabisa na wabongo wote,
Hawa jamaa Ni Ma geneus kwa kweli nadhani labda kwakua Ni Ma hip hop
Movies zao zipo Kama Saba ivi ila hazichoshi kuangalia hata urudie Mara kumi[emoji1][emoji2]
Zinahitaji utulivu na ufuatiaji mkubwa kuweza kuenjoy kilichomo
#WahuniWakubwa
#Mchepuko
#SikuZaAlosto
#TuzoFilm
#FisiWeusi
#BongoNaFlava
#TatuChafu