Wapenda wa Zouk na miondoko hiyo

gebu

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
402
245
Katika kukua kwangu,ujana na mpaka Sasa Kuna baadhi ya nyimbo hazijawahi kuchuja katika kuzipenda na kuzisikiliza.kwa upande wa bongo fleva napenda mno za zamani kuliko za sasa.kwa upande Zouk Kuna Oliver Ngoma huyu jamaa alizaliwa 1959 na kufa 2010 lakini nyimbo zake zinaishi mpaka leo Kuna bane,adia na nyingine kibao(nikisema nimuuelezee anahitaji ukurasa wake),Kuna Miriam makeba,vyone chakachaka,mahotela queens,chico na mwamba Monica seka alieyeimba okamani.wapenda Zouk na miondoko hiyo karibuni Sana tuturirike ulimpenda Nani na nyimbo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom