ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Tukumbushane kidogo.
Kibao hiki cha Uswahilini Matola(Kosa la marehemu) kiwafikie mabaharia wote,hasa wale wa kula tunda kumasihara, punguzeni speed,upepo ni mkali,mtaangusha magari.
Punguzeni kuteleza bila soksi.Ngoma bado mtaani.
"Tusimuige marehemu,hakuvaa condom"