Clouds hawajawahi kubahatisha Tigo Fiesta DSM kufanyika Uwanja wa Taifa tarehe 8. Kiingilio ni sh. 3000 na getini 5000, hiki ni kiingilio cha kimwananchi kabisa.
Ukikosa shauri yako
Clouds FM...
Huyu jamaa naweza kusema ni Roma wa Kenya, siku 3 viewers 1.3M kwa mwana hiphop haijatokea hapa Afrika Mashariki.
Tumezoea kuona pigo hili kwa kina Mondi na Kiba wasanii ambao wanaimba. Ni msanii...
HAPO kale, akaanza Waziri Mkuu, paliondokea mkulima mmoja tajiri aliyekuwa na kundi la wanyma wa kila namna na
aliyejaaliwa kujua lugha zao. Hakuna aliyejua siri hiyo kwani aliyemfundisha...
Tukumbushane kidogo.
Kibao hiki cha Uswahilini Matola(Kosa la marehemu) kiwafikie mabaharia wote,hasa wale wa kula tunda kumasihara, punguzeni speed,upepo ni mkali,mtaangusha magari.
Punguzeni...
Nimekua mshabiki wa rumba kwa muda mrefu,nilipenda nyimbo za Congo hasa zile za zamani kidogo kuliko za sasa.Hawa magwiji wawili ndio walinivutia kuipenda rumba,nina album nzima ya madilu system...
HIS Instagram feed is a littered with snaps of exotic holidays on private jets, custom-made sports cars and watches worth more than £350,000.
But despite being worth £35million and living a life...
Hawa jamaa niliwahafamu mwaka 2018 kupitia movie yao Kali mno inayoitwa #tatuchafu
Nikaangalia nyingine inaitwa #Fisiweusi[emoji2][emoji2][emoji2]
Nikazidi kuwakubali,nikaingia YouTube nikakuta...
Habari ya asubuhi wanajamii.
Kuna mambo mengi sana ya kuiga hapa duniani lakini kuna mengine siyo ya kuiga kabisa kama jambo ambalo amefanya Mr Blue kuvaa mavazi ya kinazi kwenye video ya music...
Simaro Massiya Lutumba Ndomanueno aliongoza Bendi ya TP Ok Jazz baada ya Franco Luambo Makiadi kufariki 1989 na baadae kuwa na bendi yake ya Bana OK 1991.
Amefariki Paris Ufaransa alipo kuwa...
Ni moja ya makundi ya muziki ambayo mi hupenda sikiliza hasa weekend. Mara Jumapili kama hii nasikiliza nyimbo za utulivu sana zikiwemo Country, Jazz na Rhumba.
Sielewi maana ya nyimbo za TP Ok...
Mambo vipi wana JF
Mimi kwa sasa naishi kwenye jimbo la marekani linaloitwa West Virginia na nimetokea kuwa na marafiki ambao wanapenda kwenda outdoors adventures or hiking kwenye water falls...
WASANII WA BONGO HARMONIZE NA VANESSA KATIKA DILEMMA KUBWA.
Mambo vipi wanajamii,
Kuna choice nyingi sana mtu waweza kufanya pasipo pata wasiwasi wowote juu ya maamuzi yako, Lakini kuna mara...
Niliangalia shindano la kusaka vipaji la bongo star search jana nikagundua kwamba limekuwa sio shindano la kusaka vipaji tena bali ni shindano la kusaka watu wanaotia huruma na watu wanaopendwa na...
Katika kukua kwangu,ujana na mpaka Sasa Kuna baadhi ya nyimbo hazijawahi kuchuja katika kuzipenda na kuzisikiliza.kwa upande wa bongo fleva napenda mno za zamani kuliko za sasa.kwa upande Zouk...
Bhanamhala mhu le mhola hene?
Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu.
Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na...
Nchi zilizo msitari wa mbele katika Ukombozi Kusini mwa Afrika zimetendewa mambo mengi maovu na Utawala dhalimu wa Makaburu... Hata hivyo halikupata kutokea tishio zito la kutisha kama hili...