King Kaka avunja rekodi ya wasanii E.A huko YouTube

King Kaka avunja rekodi ya wasanii E.A huko YouTube

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,451
Reaction score
2,464
Huyu jamaa naweza kusema ni Roma wa Kenya, siku 3 viewers 1.3M kwa mwana hiphop haijatokea hapa Afrika Mashariki.

Tumezoea kuona pigo hili kwa kina Mondi na Kiba wasanii ambao wanaimba. Ni msanii gani toka TZ wa hiphop amefikia hii?? Jibu ni hakuna hata kwa Kenya hakuna Mgenge amewahi fikia hii.
Screenshot_20191217-115156.jpg


Huenda mashairi yake ndio yamechangia au kitendo cha BBC kumriport kimeboost hiyo video yake? Karibuni jamvini
 
Kumbe uko JF. Nje ya mada vipi zile 'journey' unazo maana wiki jana ulidai umeishiwa

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom