Who are your top 3 artists in Kenya?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
6,817
11,541
Husika na kichwa hapo juu.

Hapa kuna Khaligraph, huku kuna Nyashiski, kule kuna Sauti Sol, pembeni kuna Hart the band, nyuma kuna Sol generation, katikati yupo mnyama Octopizzo, kulia kwake kuna Amos &Josh kushoto kwao kuna Willy Paul kwa mbele yake yupo Nameless, chini yake kaka King mwenyewe Kaka Sungura, juu yake wamekaa kina Jaguar, Otile Brown, Stella Mwangi and Muthoni Drummer Queen.

Pick your top three


Mine
1. Sauti Sol
2. Nshiski
3. Sauti from East
 
Binafsi napenda nyimbo za hawa
- Nyashinski
- Otille Brown
- Size-8

Ungesema tuweke kama kumi hivi maana kunao kibao huwa nawaskliza.
 
Barbarosa,

Mzee wa nongwa unapenda kutibua sana....swali linahusu wasanii wa Kenya, ingekua EAC, basi na mimi ningechomekea Goodluck Gozbert, huyo Mtanzania hunikosha sana kwenye nyimbo zake.

 
Binafsi napenda nyimbo za hawa
- Nyashinski
- Otille Brown
- Size-8

Ungesema tuweke kama kumi hivi maana kunao kibao huwa nawaskliza.
Size-8?
Anyway, its your choice but something tells me female artist are elusive in kenya.
 
Faxx
Sauti from east ni Nani?

1. Sauti sol - the most talented
2. Otile brown - the most hardworking
3. Nyashinski - this guy should be the best but sometimes he is just not serious!!!
 
Mzee wa nongwa unapenda kutibua sana....swali linahusu wasanii wa Kenya, ingekua EAC, basi na mimi ningechomekea Goodluck Gozbert, huyo Mtanzania hunikosha sana kwenye nyimbo zake.

Dogo yuko vizuri
 
Kuna huyu dogo wa Tz huwa napenda nyimbo zake, yeye ana uwezo wa kuchanganya lugha zote tatu, Kiswahili, Kingereza na lugha yake ya asili. Huwa napata fahari kwa wadau ambao huwa na uwezo wa kuongea lugha zao za asili lakini pia wanatiririka lugha za Kiswahili na Kingereza.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom