Mimi ninayo ya kiingereza zote moja hadi tatuJamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???
NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???
NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
Una download vipi kwa simu mkuu, maana naona mapicha picha tu.!Hapa utazipata series zote tatu (3)
O2TvSeries
O2TvSeries - The only site to free download your all favorite english tv series and season in compatible mobile format (HD Mp4, Mp4 and 3gp), have fun downloading.o2tvseries.com
Jamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???
NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
Una download vipi kwa simu mkuu, maana naona mapicha picha tu.!
Shukran mkuu nimefanikiwa.Mimi huwa natumia PC kupakua movies
Shukran mkuu nimefanikiwa.
Mimi ninayo ya kiingereza zote moja hadi tatu
naipataje mkuu
mkuu ingia toxicwap.com utapata mzigo wooote kwa kiinglishi ila ukitumia iyo 02tvseries.Com jiandae na kihispanyora humoJamani nimesikia series ya Money heist ni nzuri sana lakini Me kwa kweli wanavyoongea kiispania nimeshindwa kuifatilia.. Je kuna Episodes zake ambazo wanaongea Kingerezaa???? Yani zimetafsiriwa???
NB: SIMAANISHI SUBTITLE ZA KINGEREZA.
samahani mkuu kuna ujumbe wako PMMimi huwa natumia PC kupakua movies