mkhande95
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 308
- 180
Habari zenu wakuu natumai mu wazima wa afya.
Ombi langu kama hapo juu ni kwamba nilikuwa naulizia mahali ninapoweza kupata duka liuzwalo vitabu vya fasihi za kiswahili hasa za kipindi hicho maana nilizipenda sana ila vingine alivyonunua mzee wetu vilipoteapotea.
Nilikuwa natamani vitabu kama vya kina Katalambula, Kezilahabi, Shafi Adam Shafi na wengineo. Pia naulizia pia Mkuki na Nyota Publishers duka Lao lipo maeneo gani.
Natanguliza shukrani zangu wakuu wapendwa.