Tamthilia ya Victoria ya Azam Two iwafunze wote wanaoshabikia wazungu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,107
2,000
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa Afrika inafaa kutawaliwa.

Kuna watu wanatamani hao mabeberu warejee na wanawapa promo na kupenda kuangamiza taifa hili kwa kuwapendelea wazungu hii tamthilia inawahusu wajifunze.

Wazungu hawakuwa watu ,mateso,matusi hayatamkiki yanauma na kujaa hisia za chuki, kweli hawa wazungu sio kabisa

Hii tamthilia inajambo la kufunza watu hapa Tanzania

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
15,055
2,000

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
1,969
2,000
Rudia kusoma nn kilifanya wazee wetu kupigania Uhuru na Leo kinaendelea nn tunasheria za ajabu tumeweka bora hizo za mkoroni ikiwa mkoroni alitoa ruksa mikutano ya kisiasa vp sie tukataze. TRUMP na BORIS JOHNSON watuletee magavana tu watu weusi atuna akili za kuongoza nchi sie zetu Ngoma... USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,687
2,000
Ndiyo maana tunasema mabinti mawazo Yao ni kuolewa tu lakini mnabisha sasa angalia jinsi huyu BINTI mtoa mada anavyoitafuta ndoa Kwa nguvu
 

Bambaleta

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
10,090
2,000
KUNA TAMTHILIA FULANI INAITWA WOUNDED LOVE HAPO AZAM.

KUNA LUTEN JENERALI MMOJA.MZINGUAJI SANA MSAIDIZI WAKE NI BRIGEDIA

SASA KUNA KANALI MMOJA (KIBARAKA WA LUTEN JENERALI) ANAFANYA MICHONGO HASI SANA KUFIKIA KUMPIGA RISASI BINTI WA BRIGEDIA .

SASA KIBAO KIMEMGEUKIA YEYE MAANA WANAMJUA.BRIGEDIA NI MTATA SANA NA AKILI NYINGI .KANALI KAISHIA KUPIGWA RISASI NA KUFA

NIMEJIFUNZA UKIWA KIBARAKA WA WENYE.MAMLAKA MAKUBWA JUA MWISHO WAKO NI MBAYA SABABU MWISHO WA SIKU UTABAKI MEENYEWE NA WENYE MAMLAKA MAKUBWA MAMLKA ZAO ZITAWALINDA DAIMA.

TUJITAFAKARI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

gpluse

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
530
1,000
Kama unafatilia hii tamthilia kwenye kisimbuzi cha Azam bila shaka kuna jambo umejifunza kuhusu roho mbaya ya mabeberu na ukisiakia watu wanatamani kutawaliwa upya au kupenda kauli ya Trump kuwa afrika inafaa kutawaliwa

Kuna watu wanatamani hao mabeberu warejee na wanawapa promo na kupenda kuangamiza taifa hili kwa kuwapendelea wazungu hii tamthilia inawahusu wajifunze.

Wazungu hawakuwa watu ,mateso,matusi hayatamkiki yanauma na kujaa hisia za chuki, kweli hawa wazungu sio kabisa

Hii tamthilia inajambo la kufunza watu hapa Tanzania


Ni kweli wazungu kihistoria wametesa sana watu na hata wametesana wao kwa wao. Lakini nakwambia hakuna mtu mbaya kama mwarabu, ni mshenzi sana na hana huruma, muuaji na mtu mshenzi kuliko wote. Leo hii ona mzungu anakaribisha mataifa yote wakaishi kwake, lkn mwarabu wa nchi moja hawezi thubutu kwenda kuishi nchi nyingine ya kiarabu sababu ya ukatili wao. Wote ni wabaya lakini nafuu mzungu nakwambia. Historia itaendelea kuongea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom