I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,669 Reaction score 5,471 Feb 24, 2020 #1 kazi na muziki. namcheki tu boss wangu alivyonuna mi nakula ngoma. na kazi zinaenda yan full kuipa faida kampuni. anaoujua huu wimbo atuambie kisa chake maana si kwa utamu huu si uimbaji si midundo.
kazi na muziki. namcheki tu boss wangu alivyonuna mi nakula ngoma. na kazi zinaenda yan full kuipa faida kampuni. anaoujua huu wimbo atuambie kisa chake maana si kwa utamu huu si uimbaji si midundo.