Mwenye kujua hii song please share nasi

Mwenye kujua hii song please share nasi

Lets Get Together

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2019
Posts
258
Reaction score
431
Wakuu kwema? (Hope kwema)

Kuna hii song Inaimba background kwenye hii video clip, please mwenye kuijua naomba anisaidie jina la hiyo song or share hapa nasi wote tuipate.
Pia Iko swahili version yake please share nasi kama unaifahamu.

Thanks.

 



Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
Najua JF kuna watu wenye ujuzi + uelewa wa mambo mengi sana.

Mkuu thanks much, ubarikiwe sana. Wish nkutumie hata ya soda lakini nimepinda mbaya sina hata mia hapa nilipo.
 
Back
Top Bottom