hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
Hivi ni kitu gani ambacho kinakwamisha Album za Tanzania kushindwa kufanya vizuri sokoni. kama zikifanikiwa kidogo sio WorldWide.
Juzi tu African Giant ya Burna Boy imefikisha Streams Million 200 kwenye Spotify.
Tunafahamu Album ya Star Boy Wizkid inayoitwa Sound From The Other Side ya mwaka 2017 ilifanikiwa zaidi kuliko album yoyote kutokea Afrika.
Ikiwa na Nyimbo 12 tu.
Kabla ya hapo Album mbili za Wiz Kid yani Superstar na Ayo zilifanya vizuri kwenye Streaming...
Na Amemaliza kupika Album ya Made In Lagos. Ambayo kuna tetesi kwamba Album imejaa majina makubwa ya kimataifa.
Wapi wanafeli wasanii wa Tanzania na East Africa kwa ujumla...
Charts za Bilboard data nyingi na vigezo huwa vinatoka kwenye streams za Spotify.
Unafikili wapi wasanii wetu wanafeli...
Forgive Me...