Alikiba: Mimi ndiye nilitoa ruhusa Diamond arekodi

Alikiba: Mimi ndiye nilitoa ruhusa Diamond arekodi

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,101
Reaction score
8,864
Alikiba alishawai kusema yeye ndiye aliyetoa ruhusa Diamond kurekodi kwa Bob Junior katika studio za Sharobaro Record

Wakati Diamond anaomba nafasi kwenye studio za Sharobaro record kwa Bob Junior apate nafasi ya kurecord.

Ilibidi Bob Junior ampigie simu Ali Kiba aliekuwa Marekani wakati huo kuwa kuna kijina yupo hap vipi tumpe nafasi?

Alikiba akamwambia Bob Junior kama dogo anajua kwanini Usipewe nafasi.

Alikiba alikuwa anamfahamu kidogo Diamond sababu ya dada yake Queen Darlin ambae alishawai kumtambulisha kwake kuwa ana mdogo wake ana kipaji kipindi hicho Mondi anachana haimbi.

Sharobaro record kulikuwa na kama bodi inayosimamia studio na Alikiba Alikuwa mtu muhimu hapo hivyo ilibidi chochote kile lazima ajulishwe (alikuwa na maamuzi studioni hapo)

Yeye kiba anakiri Dully na Mr Blue ndo walimtoa, Diamond hajawai kukili wala kumshukuru mtu, Diamond kapita Mikononi mwa watu kadhaa mpaka kua hapo alipo. Papa Misifa na Ruge ni moja wapo ila jamaa anakunjaga kuwashukuru jamaa, anajionaga kama vile kashushwa.


​
 
Kwamba alitoa RUHUSA Kwamba asingekuwa King Kiba leo tusingemjua Mondy

Kwani mondy kasaidia wangapi mpaka sasa? kaajiri wangapi mfn WSF FM na FM na hajisemisemi ila tunabaki kuwajua tu


MH labda sjakuelewa mkuu

African Tanzanian
 
Alikiba alishawai kusema yeye ndiye aliyetoa ruhusa diamond kurekodi kwa Bob junior katika studio za sharobaro record

Wakati Diamond anaomba nafasi kwenye studio za Sharobaro record kwa Bob junior apate nafasi ya kurecord

Ilibidi Bob Junior ampigie simu Alikiba aliekuwa Marekani wakati huo kuwa kuna kijina yupo hap vipi tumpe nafasi?

Alikiba akamwambia Bob Junior kama dogo anajua kwanini Usipewe nafasi!

Alikiba alikuwa anamfahamu kidogo Diamond sababu ya dada yake Queen Darlin ambae alishawai kumtambulisha kwake kuwa ana mdogo wake ana kipaji kipindi hicho Mondi anachana haimbi

Sharobaro record kulikuwa na kama bodi inayosimamia studio na Alikiba Alikuwa mtu muhimu hapo hivyo ilibidi chochote kile lazima ajulishwe(alikuwa na maamuzi studioni hapo)

Yeye kiba anakili dully na mr blue ndo walimtoa, Diamond hajawai kukili wala kumshukuru mtu, Diamond kapita Mikononi Mwa watu kadhaa mpaka kua hapo alipo, Papa misifa na Ruge ni moja wapo ila jamaa anakunjaga kuwashukuru Jamaa anajionaga kama vile kashushwa


Mkuu jitahidi kukaza ulimi kidogo!!
* kukili* ndio nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba alitoa RUHUSA Kwamba asingekuwa King Kiba leo tusingemjua Mondy

Kwani mondy kasaidia wangapi mpaka sasa? kaajiri wangapi mfn WSF FM na FM na hajisemisemi ila tunabaki kuwajua tu


MH labda sjakuelewa mkuu

African Tanzanian
Ni kweli haujaelewa

Hao aliowaajiri kawanunua walikua wanafanya kazi sehemu kawaamisha
 
Alikiba alishawai kusema yeye ndiye aliyetoa ruhusa Diamond kurekodi kwa Bob Junior katika studio za Sharobaro Record

Wakati Diamond anaomba nafasi kwenye studio za Sharobaro record kwa Bob Junior apate nafasi ya kurecord.

Ilibidi Bob Junior ampigie simu Ali Kiba aliekuwa Marekani wakati huo kuwa kuna kijina yupo hap vipi tumpe nafasi?

Alikiba akamwambia Bob Junior kama dogo anajua kwanini Usipewe nafasi.

Alikiba alikuwa anamfahamu kidogo Diamond sababu ya dada yake Queen Darlin ambae alishawai kumtambulisha kwake kuwa ana mdogo wake ana kipaji kipindi hicho Mondi anachana haimbi.

Sharobaro record kulikuwa na kama bodi inayosimamia studio na Alikiba Alikuwa mtu muhimu hapo hivyo ilibidi chochote kile lazima ajulishwe (alikuwa na maamuzi studioni hapo)

Yeye kiba anakiri Dully na Mr Blue ndo walimtoa, Diamond hajawai kukili wala kumshukuru mtu, Diamond kapita Mikononi mwa watu kadhaa mpaka kua hapo alipo. Papa Misifa na Ruge ni moja wapo ila jamaa anakunjaga kuwashukuru jamaa, anajionaga kama vile kashushwa.


​

The Spartacus mnyama mkali watu wanalilia huku uwape link la Hilo group
 
Kiba angejikita zaidi kwenye ngoma kali na si kulia lia kwani yeye mbona kasaidiwa na ebby skills na mr blue? Naona hata hao wanaombeba huyo kiba washamchoka.. nawaza tu ngoma ijayo video queen tanasha kama sio zari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom