Movie/series yako bora kabisa

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,627
10,683
Wakuu hii covid 19 imetufanya tutulie majumba na ni muda mzuri wa kuenjoy movies na series

Naomba utaje movie yako moja tu unayodhani ni bora kabisa kuliko zote ulizoangalia
Halikadhalika taja na series moja tu ambayo unaielewa
Ikiwezekana toa na dondoo zako, itasaidia wengine kuchagua za kuangalia

Mimi kwa movie niliielewa sana Tatinic
Stori yake ilikua imetulia na teknolojia yake kwa wakati ule ilikua ya hali ya juu sana
Naangalia movie nyingi nzuri sana lakini sijona iliyowahi kunikuna kama hii movie

Upande wa series nimeielewa sana Game of throne
Imeshiba haswa kwenye plot yake kiasi kwamba hata huwezi kujua exactly ni nani muhusika mkuu
Kuna siasa, mapenzi,uchawi,vita na kila kitu yani

Tujuzane wakuu tupate mwanga wa kutafuta vitu vizuri vya kuangalia
 
  1. Game of thrones
  2. Prison Break
  3. 24 Hours
  4. Spartacus
  5. 3 Days
  6. Iris
  7. Money Heist
  8. Jumong
  9. Kingdom of wind (Jumong 2)
  10. Viking japo sijaiona
 
1.Prison break
2.into the Badland
3.Innocent defendent
4.Lost
5.The empress ki
6.Banshee
 
  1. Game of thrones
  2. Prison Break
  3. 24 Hours
  4. Spartacus
  5. 3 Days
  6. Iris
  7. Money Heist
  8. Jumong
  9. Kingdom of wind (Jumong 2)
  10. Viking japo sijaiona
kwangu mimi toa zote zenye mswala ya nguvu za giza zilizobaki hapo tuko pamoja
 
Troy
James bond zote.
Movie zote za Will smith
Movie zote za Angelina Jolie
Movie zote za Nicholas Cage
Lord of the rings & Hobbit zote
Fast & Furious zote.
Hit man(hasa ile ya kwanza ya 2007)
Transporter zote 1-4(Jason alizitendea haki)
Mechanic resurrection
The huntsman winter war
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom