J wizzy
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 459
- 535
Habari za weekend wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,unafkiri ni nani unazani ni best hip hop man kwa hapa Tanzania? Na kwanini??
Binafsi my best ever rapper of Tz ni FID Q.sina manen ya kumdescribe huyu jamaa,ila kama kwenye mpira basi ningesema ni fundi haswaaa.
Kifupi anajua sana huyu jamaa.referred to the songs like;
1ropaganda.
2:Sumu.
3:Ielewe mitaa.
4:I am a professional.
5:Bongo hip hop.
6:sihitaji marafiki.
7:Nyota ya mchezo.
8:Mwanza Mwanza.
9:Mama.
10:Chagua moja n.k..
Binafsi nnaenjoy na kupata madini yakutosha nimsikilizapo huyu jamaa.pia ni mtu ambae anaejiheshim na kuwaheshim wengine.
Tupia na wewe msanii wako bora wa hip hop kutoka TZ na umwelezee kwanini yeye.
# sanaa kwaajili ya kuelimisha&kuburudisha.