Mwanangu anakupenda

Inaonekana kuna Wachaga wapuuzi pamoja na kwamba ni miongoni mwa makabila nayo yaheshimu

Umeshindwa kuwaelimisha jambo?
Huyo mtoto mdogo yupo form2 , ungetwambia umemshauri nini, au mama yake umemshauri vipi

Unaleta uzi kwamba anakupenda mara kopa, Upuuzi gani? Cha msingi zingatia tamaduni na taratibu za kimungu
 
Tembea uone aisee dunia imebeba mengi.
Kila mtu anatakiwa kujua ya kwamba kutembea na mwanafunzi kisheria ni ubakaji na sasa hivi nimeona mahakama zetu hazina mzahaa hata kidogo kwenye kosa hili ni watu wanafungwa miaka 30 fasta sana halafu kesi za hii issue zinachukua muda mfupi sana. Mimi namwogopa mwanafunzi kuliko nyoka!
 
Inaonekana kuna Wachaga wapuuzi pamoja na kwamba ni miongoni mwa makabila nayo yaheshimu

Umeshindwa kuwaelimisha jambo?
Huyo mtoto mdogo yupo form2 , ungetwambia umemshauri nini, au mama yake umemshauri vipi

Unaleta uzi kwamba anakupenda mara kopa, Upuuzi gani? Cha msingi zingatia tamaduni na taratibu za kimungu
Sipingani na wewe mkuu,huo ni mtazamo wako, mbona umebeba jazba na makasiriko namna hii? Umesahau hii ni habari ya kusadikika tu relax, pia bado sijamaliza kisa na mkasa utoe hitimisho.
 
Kila mtu anatakiwa kujua ya kwamba kutembea na mwanafunzi kisheria ni ubakaji na sasa hivi nimeona mahakama zetu hazina mzahaa hata kidogo kwenye kosa hili ni watu wanafungwa miaka 30 fasta sana halafu kesi za hii issue zinachukua muda mfupi sana. Mimi namwogopa mwanafunzi kuliko nyoka!
Ni kweli mkuu,ukitaka ndoto zako zipotee tembea na mwanafunzi halafu ukamatwe ama umpe mimba akutaje,ni hatari sana,yatupasa kua makini mno japo pia naamini kuna kesi zikusingiziwa pia.
 
Kinachookoa watu hapa Tanzania na makosa kama haya ni umbumbumbu. Kwenye nchi za wenzetu ukitenda kosa kama hili unaweza hata usishtakiwe na mzazi wa mwanafunzi wala ndugu yake, yaani ni raia mwema anaibuka na kwenda kukufungulia kesi au taasisi za kutetea watoto zinakufa na wewe pamoja na mzazi aliedekeza hayo mazingira. Hata mimi nikiona kuna mtoto amebakwa lazima ninunue hiyo kesi nife na mtu!
 
Inaonekana kuna Wachaga wapuuzi pamoja na kwamba ni miongoni mwa makabila nayo yaheshimu

Umeshindwa kuwaelimisha jambo?
Huyo mtoto mdogo yupo form2 , ungetwambia umemshauri nini, au mama yake umemshauri vipi

Unaleta uzi kwamba anakupenda mara kopa, Upuuzi gani? Cha msingi zingatia tamaduni na taratibu za kimungu
Mtu mzima wa miaka 32 anajimwambafy kupendwa na mtoto!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom