Albamu ya Afro East ya Harmonize yafikisha streams milioni 78 ndani ya miezi miwili

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,734
7,672
Album ya Afro East Inaendelea Kufanya Vizuri Kwenye Digital Platform mbalimbali

IMG_20200516_134110_829.JPG
 
hii post ilinifanya nigoogle platform zote kujiridhisha afro east album mpaka sasa ina 30m+ na sio hizo mlizoambiwa nyie team hamnazo

nilichogundua mishabiki mingi ya konde+kiba ni hamnazo, wakiongozwa na dada robidinyo
 
Kwa iyo apo wameweka takwimu za uongo
 
sweta la Tanzania We Google Ujionee, Mmakonde Anataka Sifa Za Kijinga Tu
Yaani watanzania wengine huamini google siyo kama source of information bali kama information halisi. What if google hawaja update taarifa katika moja ya list ya majibu uliyopewa?
Nje ya hayo, tuwekee hapa huo ushahidi wako wa kukanusha siyo unasema in general kwamba nine google....tusipende kudharau mafanikio ya wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom