Wazee kikosi kazi vs Weusi nani ni nani?

Kisalilo

JF-Expert Member
Apr 17, 2020
1,882
2,109
Aisee hii battle naona Kabisa imetangazwa official.

Kama shabiki wa mziki njoo useme katika nyimbo zao za Diss umependa ipi ?

Na utoe Comments wapi ni wakali ?

Mahaba yangu kwa kikosi kazi na P THE MC. kaua sana verse yake kaigiza ka sauti ka G nako.
 
Pmawenge Unju ,uno,azma,songael,mansu li sinza star, Hawa wahuni nawakubali Sana..
Hakunaga kupanic kwa game Wala undezindezi wa kishamba Kama wale wa upande wa pili kujifanya magenius ktk game.
Ila nimekuwa disappointed kutomuona Maalimu aka Zuzu aka uchebe aka Nash Mc sijui kwanini mchizi ajawa included KK?


Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hao Kikosi kazi sijaona maajabu yao. They sound kama ma-underground bana especially huyo Azma.
 
Jaribu kutafuta maana ya underground MCs.


Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mkuu, kwa uelewa wangu mdogo concept ya underground kwa hiphop ni kumwongelea mc (awezekana pia akawa mkubwa tu) lakini hakick kwenye media mainstream au hana zile media hypes. Ndo maana Nikki Mbishi huwa pia anajiita Underground King japo in reality is a well known MC, na akirap unaona kabisa ni matured MC kuanzia flows mpaka content.

Sasa huyo bwana Azma alichoimba katika nyimbo ya kikosi kazi ni kama wale ma Amateur Mcs. Hana flows wala punchs. He sounds so average

Mbali naye, hata Mansu Li amespit nonsense.
 
Weusi interlude

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Nilijua Tamaduni wamechanwa mwanzo mwisho..Kumbe line kadhaa tu..Naona wenyewe wameamua kutoa diss track kabisa...Hii inaitwa niguse nikuchanechane na viwembe..Walichofanya KKK ndo alichofanya P Mawenge kwa Nikki..

Btw binafsi hii diss track ya KKK naiona nyepesi sana..Hawa jamaa ni bora zaidi ya walichokifanya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom