Diamond the G.O.A.T awagaragaza Davido, Wizkid na Burna Boy kwa mapato YouTube

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Lisemwalo lipo na Kama halipo, litakuwa njiani Lina kuja. Huu usemi umedhihirishwa na chuma Cha pua Africa DIAMOND the G. O. A. T, kwa kuwagaragaza Wizkid, Davido na Burnaboy kwa mapato YouTube baada ya kuongoza ,$1.7m kwa mwaka, na kuwa msanii namba moja nayeongoza kwa fedha Africa huku Tanzania kukiwa hakuna hata wa kuramba viatu vyake.

N. B:
Kuanzia leo DIAMOND the G. O. A. T ndo msanii namba moja kwa Kila kitu, so asifananishwe na wazee pamoja na watoto wake.

POVU KAFULIENI NGUO.

officialjmboy_20200712_1.jpg
View attachment 1505010View attachment 1505009View attachment 1505011
 
Back
Top Bottom