UFC 251: Usman Vs Masvidal

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Wale wadau wa UFC usisahau kuangalia mechi kali sana kati ya hawa watabe wawili usiku huu, vita ni vita mura
Screenshot_20200711-233949_1594500030499.jpg
 
Ni mzuri ukiufatilia vizuri, japo haufikii boxing. Unaambiwa kwa sasa unafanya vizuri Marekani kupita boxing
Umepata habari kuhusu Ryan Garcia kukataa pambano la WBO ambalo kama angeshinda angekuwa mandatory challenger dhidi ya Lomachenko badala yake anataka kupambana na Luke Campbell kama akishinda atakuwa mandatory challenger dhidi ya WBC lightweight interim champion Devin Haney.?
 
Ukimtoa Khabib na Conor McGregor hakuna ninayemfahamu kwenye huo mchezo.
Hao wamebahatika kuuza majina, ila kuna wakali wengi sana, Conor Mc Gregor hatoboi kwa hao wote wawili, Khabib anaweza kutoboa. Huyu Jorge alitokea kunivutia sana nilipokuwa nafatilia StreetFight YouTube, nilipogundua alichukuliwa UFC kwenye professional career nikaanza kumfatilia zaidi

Umepata habari kuhusu Ryan Garcia kukataa pambano la WBO ambalo kama angeshinda angekuwa mandatory challenger dhidi ya Lomachenko badala yake anataka kupambana na Luke Campbell kama akishinda atakuwa mandatory challenger dhidi ya WBC lightweight interim champion Devin Haney.?
Sidhani kama amekataa, nilichoona WBC ndio wameorder hilo pambano na Garcia na Luke. Loma hata hivyo ana pambano dhidi ya Teofimo Lopez anaweza kupoteza pia
 
Hao wamebahatika kuuza majina, ila kuna wakali wengi sana, Conor Mc Gregor hatoboi kwa hao wote wawili, Khabib anaweza kutoboa. Huyu Jorge alitokea kunivutia sana nilipokuwa nafatilia StreetFight YouTube, nilipogundua alichukuliwa UFC kwenye professional career nikaanza kumfatilia zaidi
Nijuze machache kuhusu UFC

1)Kuna rounds ngapi?
2)Mikanda yao ikoje
3)Je UFC inahusisha mchezo upi wa ngumi au ni kama street fighting?
4)Kuna majaji?
5)
 
UFC n mchezo hatari zaid kuwai tokea duniani

Kwa fikra zangu, ndio mchezo ambao kwa asilimia 80 humalizika kabla ya round kuisha.

Ndio mchezo ambayo, kupasuliwa n sehem ya mchezo. Yani n jambo la kawaida kabisaa..

Waliwai mfanya kitu Mbaya mkali wa wrestle Block lesnar. Aaaahhh
 
Sidhani kama amekataa, nilichoona WBC ndio wameorder hilo pambano na Garcia na Luke. Loma hata hivyo ana pambano dhidi ya Teofimo Lopez anaweza kupoteza pia
Alipata nafasi kote kote , ilibidi apambane na Emmanuel Tagoe mshindi angepigana na Lomachenko ila akaona aende upande wa WBC .

Binafsi ninaona kama amemuogopa Lomachenko japo Haney naye yupo vizuri.

Kama angepigana na Lomachenko na angeshinda angekuwa unified champion tofauti na pambano lake dhidi ya Haney.
 
Nijuze machache kuhusu UFC

1)Kuna rounds ngapi?
2)Mikanda yao ikoje
3)Je UFC inahusisha mchezo upi wa ngumi au ni kama street fighting?
4)Kuna majaji?
5)
1. Round 5
2. Mkanda mmoja kwa kila uzito
3. UFC ni kampuni inayoandaa mapambano, mchezo wenyewe unaitwa Mixed Martial Art (MMA). MMA ni combat sport ambayo ni very close to real fight, kwa maana inahusisha ngumi, mateke na wrestling, japo kuna sheria zake.
4. Majaji kama Boixing tu
 
UFC n mchezo hatari zaid kuwai tokea duniani

Kwa fikra zangu, ndio mchezo ambao kwa asilimia 80 humalizika kabla ya round kuisha.

Ndio mchezo ambayo, kupasuliwa n sehem ya mchezo. Yani n jambo la kawaida kabisaa..

Waliwai mfanya kitu Mbaya mkali wa wrestle Block lesnar. Aaaahhh
Muulize CM Punk alichofanyiwa alipojaribu kujichanganya huko, alicheza pambano moja tu na hakurudia tena, atleast Lesnar amejitahidi japo amechezea vichapo kadhaa. Pia kuna maboxer walijaribu kujichanganya UFC waliishia kuchezea vichapo vya aibu
 
Alipata nafasi kote kote , ilibidi apambane na Emmanuel Tagoe mshindi angepigana na Lomachenko ila akaona aende upande wa WBC .

Binafsi ninaona kama amemuogopa Lomachenko japo Haney naye yupo vizuri.

Kama angepigana na Lomachenko na angeshinda angekuwa unified champion tofauti na pambano lake dhidi ya Haney.
Yes kachagua njia nzuri, Loma ni tough kuliko Haney. Ila na huyu Campbell ni hatari anaweza kumkalisha pia
 
Nieleweshe kuhusu franchise champion.

Maana huyu Haney alikuwa ni interim champion tu kama Dillian Whyte lakini akapandishwa cheo mpaka kuwa WBC lightweight champion wakati huo Lomachenko ambaye ndiye alikuwa kwenye hiyo nafasi wakampandisha mpaka kuwa WBC lightweight franchise champion.

Wanataka kufanya pia kwa Tyson Fury wampe u franchise champion na Dillian Whyte apandishwe kuwa WBC heavyweight champion.

Lakini kwa maajabu eti mtu ukishapewa hicho cheo huwezi kupoteza kwa kupoteza pambano hapa ndipo sijaelewa kabisa.
 
1. Round 5
2. Mkanda mmoja kwa kila uzito
3. UFC ni kampuni inayoandaa mapambano, mchezo wenyewe unaitwa Mixed Martial Art (MMA). MMA ni combat sport ambayo ni very close to real fight, kwa maana inahusisha ngumi, mateke na wrestling, japo kuna sheria zake.
4. Majaji kama Boixing tu
Wana amateur fights?
 
Nieleweshe kuhusu franchise champion.

Maana huyu Haney alikuwa ni interim champion tu kama Dillian Whyte lakini akapandishwa cheo mpaka kuwa WBC lightweight champion wakati huo Lomachenko ambaye ndiye alikuwa kwenye hiyo nafasi wakampandisha mpaka kuwa WBC lightweight franchise champion.

Wanataka kufanya pia kwa Tyson Fury wampe u franchise champion na Dillian Whyte apandishwe kuwa WBC heavyweight champion.

Lakini kwa maajabu eti mtu ukishapewa hicho cheo huwezi kupoteza kwa kupoteza pambano hapa ndipo sijaelewa kabisa.
Namimi siwaelewagi, WBC wameshaifanya Boxing kama siasa. Hiyo mikanda ya ajabuajabu imeundwa ili kuwalinda champions wanaowataka. Ndio maana sikuhizi UFC inawateka sana Marekani, kwasababu kule hakuna siasa, The Best anapigana na The Best hakuna mambo ya kukimbiana, na kila uzito unabingwa mmoja (mkanda mmoja). Kuna siku Canelo alikuwa anapigana na Kovalev, usiku huohuo alikuwa anapigana Masvidal na Diaz (UFC), ikabidi kina Canelo wasogeze muda maana wamarekani macho yote yalikuwa kwenye UFC, wasipoangalia UFC itachukua nafasi ya Boxing
 
Namimi siwaelewagi, WBC wameshaifanya Boxing kama siasa. Hiyo mikanda ya ajabuajabu imeundwa ili kuwalinda champions wanaowataka. Ndio maana sikuhizi UFC inawateka sana Marekani, kwasababu kule hakuna siasa, Best anapigana na Best hakuna mambo ya kukimbiana. Kuna siku Canelo alikuwa anapigana na Kovalev, usiku huohuo alikuwa anapigana Masvidal na Diaz (UFC), ikabidi kina Canelo wasogeze muda maana wamarekani macho yote yalikuwa kwenye UFC, wasipoangalia UFC itachukua nafasi ya Boxing
Pesa ,pesa , pesa.

Halafu sio WBC ,vyama vyote vikubwa kuanzia WBA,WBO na WBC, vyote wana mikanda mingi sana ,kuanzia regular,super, interim nk.

IBF sidhani kama ujinga huu upo.

Halafu mikanda inalipiwa hiyo so ni kama biashara tu.
 
Ndio maana mabingwa wanakwepana kwakuwa kuna mikanda mingi, na hili ndio limeifanya Boxing kupoteza mvuto
 
Back
Top Bottom