Ipi show kali ya mchana kati ya XXL,The Switch & Planet Bongo?

Ndesa Khan

Member
Jun 30, 2020
7
26
Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana.

Je, nani mkweli kwenu?
 
Clouds ni team iliyokamilika bado sijaona redio katika content wanaoweza kushindana na clouds ,unaanzaje kumfananisha kipanya babra ciZza na kina chumvi na ndimu kwa vipindi vya burudani yani bado cjaina wa kushindana na hawa wa kina remedy na mamy baby ukija michezo kuanzia utangazaji hadi uchambuzi jamaa wako deep sana
 
Mm nasikiliza sana redio na pia huwa napenda zaidi kujua uwezo wa watangazaji finally nime conclude mawingu wana kila kitu vipaji,content na IQ za watangazaji wao ziko juu zaidi compared to radio nyingine na kila radio ukiangalia zina zao la clouds hasa izi efm na hawa wasafi
 
depends uko team gani, mana toka diamond afungue wasafi hata maswala ya radio watu wanasikiliza kwa u team
 
Wengi hao unaowataja ni zao la IPP hakuna clouds hapo
Wakina mamy, remedy na Millard.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom