Diamond vs Ali Kiba: Dodoma imeweka bayana leo

uniq

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
5,089
Reaction score
31,086
Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma.

Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata wafalme wanatafuta Diamonds.

Leo Kiba amekuwa wale wasanii wanao tangulia kuimba kabla ya mwenye show kuimba.

Hongera sana Diamond.
 
Kwahiyo wasanii walioimba mwishoni ndo wakubwa kuzidi Diamond?[emoji184][emoji184][emoji184]
 
Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma.

Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata wafalme wanatafuta Diamonds.

Leo Kiba amekuwa wale wasanii wanao tangulia kuimba kabla ya mwenye show kuimba.

Hongera sana Diamond.
Kwa hiyo Bob Haisa ni zaidi ya Diamond???
 
Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma.

Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata wafalme wanatafuta Diamonds.

Leo Kiba amekuwa wale wasanii wanao tangulia kuimba kabla ya mwenye show kuimba.

Hongera sana Diamond.
Diamond baba lao
 
Inamaana vyama pinzani hatuna hata msanii mmoja maana wote wameishia kule
 
Allikiba na bob haisa wameimba vzuri na walitulia.. ila diamond fujo fujo na vurugu tu hakuna cha maana alichoimba[emoji23]

Kuhusu kutangulia siyo mantiki ni ratiba tu...

Maana bob haisa kaimba baada ya diamond

Relax
 
Back
Top Bottom