[emoji23]Kwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;
Harmorapa ni Tsh.150,000
Keisha ni Tsh.300,000
Makamua ni Tsh.140,000
Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.
Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi
Harusi njema mkuu.
Ahaa,,,!! Joshua ametisha.yuko vizuriHuyu Joshua ni bure tuView attachment 1483271
Mkuu wacha mzaha. Nataka nimlete Kiba, Diamond n.kKwa kua umemuulizia Harmorapa,Keisha,Dudubaya,Makamua na Bendi ya
TOT bei zako ni hizi mkuu;
Harmorapa ni Tsh.150,000
Keisha ni Tsh.300,000
Makamua ni Tsh.140,000
Bendi ya TOT ni Tsh.500,000 ila hawa wafanyie booking mapema maana soon watakua wanazunguka kwny kampeni za CCM/uchaguzi.
Dudubaya ni Tsh.70,000 na mizinga miwili ya Konyagi
Harusi njema mkuu.
Wacha utani kwenye kazi za watu.Huyu Joshua ni bure tuView attachment 1483271
Nataka niwalete kwa gharama ile ile wanayolipwa kwa ajili ya show.Kuwaleta wasanii kwenye sherehe yako ni rahisi kama hao wasanii sio well established, ila kwa watu kama Ali kiba au diamond ni lazima wawe na special relationship na wewe kiasi kwamba wataacha mambo yao na kuja kuhudhuria sherehe yako, vinginevyo watakuambia bei ambayo hutaiweza.
Nataka niwalete kwa gharama ile ile wanayolipwa kwa ajili ya show.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo serious kweli kuwalipa mamilioni kwa ajili ya harusi tu?Nataka niwalete kwa gharama ile ile wanayolipwa kwa ajili ya show.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo mkuu. Nataka kufanya kitu special, nitatoza kiingilio.Mkuu upo serious kweli kuwalipa mamilioni kwa ajili ya harusi tu?
Million 7 kwa show
Diamond zaman kidogo ilikua 30M ,kwa sasa sijajua
Ha ha ha ha
Diamond hana nyimbo za harusi.Mchukue Ruby mkuu, sherehe yako itapendeza sana, na haitakuwa na vurugu.
Yule binti anajua kuimba sana.
Ukiwachukua diamond, alikiba watu watasahau kama sherehe ni yenu. Kwa kifupi watawapuuza maharusi.