Najua wachache wanamjua mtaalmu huyu hasa kwenye filamu za mapigano na ule unene wake lakini anapiga kung fu shida, kacheza na mastaa wengi nao movie tofauti kama Jacky Chan, Bluce Lee, Donny Yen...
Unaweza kudhani picha hii ina Maudhui ya Ngono lakini sio, Picha hii ni alama ya kitu ambacho kwa sasa kinaitwa "Roman Charity"
Ilianzaje Roman Charity?
Hapo zamani katika roma ya kale (Acient...
Katika Uchina ya kale (Acient China) aliishi mzee mmoja mwenye busara sana, umaarufu wake ulivuka mipaka ya falme jirani na maeneo mengine mengi.
Watu walitoka maeneo ya mbali kuja kupata busara...
Za kunyapia nyapia zinasema sababu halisi iliyo wafanya Clouds wa ahirishe tamasha lao ni mauzo duni ya tiketi.
Inasemwa kwamba tiketi zilizo uzika zilikuwa ndogo sana.na.kwamba ingekuwa aibu kwa...
Mkongwe wa kuigiza na mzalishaji wa movies, amezaliwa Washigton Dc mwaka 1948. Leo nimeamka nae kumuangalia kwenye movie ya The Hitman, Bodyguard na sasa namalizia The Rule of Engagement.
Unaweza...
Leo nimeikiza Clouds Fm's XXL bila ya uwepo wa Dozen lakini bado nimeona show ni nzuri. Wana varieties ya segment ambazo haziboi. Mamy amerudi kwenye Hot3@3 basi utani wao na Mchomvu inakuwa...
Pengine kutokana na hulka ya JPM kufanya teuzi mbalimbali za wasaidizi wake kutoka vyombo mbalimbali vya habari inawezekana kabisa hii dhana imewaondolea weledi baadhi ya watangazaji wengi wa...
Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu
Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck...
RIWAYA: MKOLONI MZAWA—2
MTUNZI: HASSAN MBONECHE
SEHEMU YA 01.
Hali ilibadilika!
Waraka wa ushauri wa utafiti uliofanywa na Jackson ulipelekea raia wengi waishi kwa shida. Hasa walioshupalia...
NYEMO CHILONGANI.
UTAJIRI WENYE UCHUNGU.
Sehemu ya Kwanza.
“All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your...
Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya...
Kufaidi keki iliyoko kwenye tasnia ya burudani, Music video ni uma mzuri, ukiutumia kibunifu unaweza ukachoma mapande yenye faida.
Kwanini?
Music video producers wapo wachache?
Hapana bali wengi...
Salama wakuu,
Nina aibu sana, pia mazingira niliyokulia hamna mambo hayo kabisa. Hapa ninatarajia kufunga ndoa mwezi ujao na kama mnavyojua mambo ya kuingia ukumbini na mengineyo kwenye shughuli...
Katika uzi huu, nitakuwa naweka link za moja kwa moja za kupakua sinema kali kabisa (compressed za 300MB tu!) zilizowahi kutokea, utaweza kuzipakua na kuziangalia moja kwa moja kwenye simu au...