Movie au series ya kuangalia ukiwa na mwenza wako au mpenzi wako

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Habari za weekend wanajamvi.

Moja kwa moja kwa mwenye kujua ni series au movie gani inaleta raha na kufurahisha hasa ukiwa unaangalia na mke au mpenzi wako. Iwe ya aina yoyote ile ila sio (pono) Naomba nisaidie jina niidownload maana hii weekend cjaitendea haki.

Nawasilisha
 
Wadau za weekendi
Kwa anaejua series kali au movie kucheki ukiwa na bby please ntajie jna maana hii weekend itaharibika

Nawasilisha
 
Habari za weekend wanajamvi.

Moja kwa moja kwa mwenye kujua ni series au movie gani inaleta raha na kufurahisha hasa ukiwa unaangalia na mke au mpenzi wako. Iwe ya aina yoyote ile ila sio (pono) Naomba nisaidie jina niidownload maana hii weekend cjaitendea haki.

Nawasilisha
mkuu nisaidie jinsi ya kudownload kwa pc
 
Angalia wrong turn ile mizombi ni hatari ikiwa inauwa akiona lazima akurukirukie na hiyo itapelekea mrukiane rukiane mwishowe mimba.. mkishindwa Sana angalieni hata insyuka.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom