Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,188
- 1,604
Kwa kweli hata mimi sijui jina lake, wala aliyeupiga.
Ingawa hata mimi ninaupenda huenda kuliko yeye. Laki yeye ndiye anahitaji aupakie kwenye simu yake sasa hivi!
Sasa nafanyaje ili nipooze kiu yake?
Kibwagizo chake kinasema; jamani lissu anaingia madarakani ooh,
Halafu hapo kuna kinanda kinaitikia matata sana.
Yaani hadi rahaaaaa.
Yaani wimbo na tukio vimeumana kama meno ya mamba!
Ndiyo hivyo tena naomba mnisaidie linaitwaje lile song.