Old School:Karibuni tukumbushie Makundi ya zamani ya Hip Hop/Bongo Fleva na Hits songs za zamani tu

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
kwanza-unit-future.jpg


th


KU_Crew_1994.jpg


Mziki wa zamani kwa asilimia kubwa ulifanywa kwa makundi na tumeshuhudia makubndi mengi sana Bongo yaliyohit sana na kusaidia kuusogeza muziki wa Bongo kwa kiasi fulani.
Katika kuyakumbuka makundi haya ni vizuri wote hata watoto wa juzi wajue muziki wa HipHop hapa Bongo au Bongo fleva ulipoanzia.

Huwa nachukia sana naposikia watu wanasema Sugu ndio Muanzilishi wa harakati za muziki wa Hip Hop hapa Bongo.Hii hutokana na watu wengi sana wanaofuatilia muziki sasa hawakupata kujua waanzilishi wa harakati hizi.

JF ni kisima cha Knowledge ikiambatana na burudani pia ,hivyo natumaini kupitia uzi huu tutaweza kufukua makubri mengi sana ya Waanzilishi wa harakati hizi ili jamii ipate kutambua waasisi.

Maisha yamefanya hata watu kama kina Afande Sele wajiite waasisi wa HipHop Bongo Kitu ambacho sio kweli hata kidogo.

WanaJF uzi huu ni kwaajili ya Kukumbushia makundi ya HipHop na Bongo Fleva uliyoyakubali sana na nyimbo zote kali unazozikubali.















HAYA NI BAADHI YA MAKUNDI :

1.Kwanza Unit Crew(KU CREW)-Utaona,msafiri etc
2.Diplomats-Saigoni,Balozi
3.Gangwe Mob
4.Mabaga Freshi-Tunataabika
5.Watengwa
6.Wandago Family-Sipendi Kuona
7.Waswahili-Pengo
8.Sugu(sio kundi)
9.Kikosi cha Mizinga
10.East Coast Team Vs TMK
11.HBC-Nigga J,Fanani
12.Solid ground-Hii ni mechi kali,kichaa cha jerry
13.UVC - T shirt na jeans,Vumilia


GANGWE-MOBB.jpg


Karibuni tuweke songs za zamani

Old Is Good all the Time (1980s-2006)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom