Zuchu Ft Joeboy - Nobody (Video)

Zuchu Ft Joeboy - Nobody (Video)

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,502
Reaction score
14,784
Zuchu ameachia ngoma yake ambayo amemshirikisha msanii kutoka Nigeria JOEBOY ngoma inaitwa NOBODY humo ndani zimechanganywa lugha mbili kiingereza na kiswahili



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Zuchu to the world 🙌🏽, Sijapata wasaa wakusikiliza wimbo wenyewe but i can see her bright future.


Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Joe Hana maajabu kwenye hiyo video Kama kalazimishwa
 
Back
Top Bottom