Swedi Shaury
New Member
- Mar 26, 2016
- 2
- 0
Kuna kazi nyingi sana za riwaya za kipepelezi ambazo zimetungwa na waandishi mahiri hapa nchini kama Ben Mtobwa n.k hali kadharika riwaya za kawaida kama za maisha. Je ni zipi zaidi zinapendwa na watu?
Mkuu nipe link ama vipo bookshop hivyo vitabu.Wee weee za kijasusi bwana kuna Huyu kijana toleo jipya anaitwa Amata Ga Mimba na series zake za kamanda Amata au TSA no 1 unasoma mpaka unajiona ndo wewe
Xjakuelewaa ww mrembo jinsi ya ?Jamanai naombeni msaada jinsi ya kuama hzi liwaya kwnye cmu..hizi liwaya za kijasusi maana nmetafuta nmeshindwa
We choko nn nan mremboXjakuelewaa ww mrembo jinsi ya ?
Amata Ga Imba mkuu sio Ga MimbaWee weee za kijasusi bwana kuna Huyu kijana toleo jipya anaitwa Amata Ga Mimba na series zake za kamanda Amata au TSA no 1 unasoma mpaka unajiona ndo wewe
Alikuwa na website yake ambapo alikuwa anaweka huko hizo tamthlia ...nilipoteza link...!Vipepeo weusi alizingua hakuimalizia,aliniacha na arosto sn
Ana blog na hata uko hakuimalizia aliishia season 2 episode 12Alikuwa na website yake ambapo alikuwa anaweka huko hizo tamthlia ...nilipoteza link...!
TSA 1
Kamanda Amata Is the Best writer. Ukiisoma hiyo hata Expendable haioni ndani bonge la Story. Kama Movie la mbele hivi. Duh jamaa anajua ni hatari.
tafuta blog moja inaitwa deusdedith mahunda blog kuna kila aina ya riwaya unayohitajiHivi kamanda AMATA skuizi kaacha kazi ya uandishi nini? Anyway kuna ile riwaya moja naitafuta inaitwa MSITU WA SOLONDO (kama sijakosea jina). Vipi naweza kuzipata wapi riwaya zake huyu jamaa?
tafuta blog moja inaitwa deusdedith mahunda blog kuna kila aina ya riwaya unayohitaji