Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari za muda huu wakuu..I hope mko poa.. TVE wana kipindi kinaitwa "Za Leo", hiki kipindi ukikiingalia Content yake au entire Idea inafanana na ile ya Kipindi cha Refresh kinachorukaga Wasafi...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
AFRIMMA imetoa list ya wanamuziki wa kupewa tuzo mwaka huu; mojawapo ni artist of the year. Sasa mwanamuziki Master KG wa south Africa, wimbo wake wa Jerusalema ni maarufu sana duniani kote sasa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Hebu tujikumbushe kidogo, tumeambiwa kusahau. Chorus (Ferouz) Hapa nilipo mimi nipo kitandani Starehe zimeniweka matatani Kupona tena mimi haiwezekani Masela wangu ndugu zangu buriani...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema "Tena wasipoteze muda kwa...
10 Reactions
64 Replies
11K Views
Wadau wa mziki tupeane ushauri, niongeze nini na nipunguze nini kwenye hii beat?
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna kipindi nakiskiliza muda huu saa 2315 cha muziki, aisee hao watangazaji wenu sijui mmewatoa wapi yani inaonyesha ni ma newbie sana ni dizain kama ya wale...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii nyimbo nitaipata vipi ? "Najua nafsi yako inatamani sana inasubiri ahadi yetu kuwa bibi na bwana,siku zinavyozidi kwenda dhiki inazidi tuandama na lengo letu linazidi kushindikana...."...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Kwanza nimeshindwa kuamini nilipo iona hiyo clip kwa mara ya kwanza Maana mkono wa huyo mama unatereza juu ya nyuzi za gita kama moja ya mikono ya wale viumbe walioumbwa pamoja na lusifa Sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za mihangaiko. Bila kupoteza muda huyu jamaa naona sasa amekua sana kiakili na anafikiria zaidi maisha naona hataki tena kurudia makosa baada ya kupoteza 600M. Hizi ni kazi zake za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Namuangalia idris katika utengenezaji wa filamu bongo, tuseme wazi jamaa anakuja vizuri, kuanzia ubora wa kazi zake DANGA na leo kachia kazi nyingine NDOMU (nadhani ni promo ya condom mpya)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sehemu ya 1 Nilitoka kazini nikiwa nimechoka sana nikaamua kurudi nyumbani moja kwa moja tofauti na siku nyingine ambazo nilipitia hapa na pale nikiwa na lengo la kupoteza muda kabla sijarudi...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu, Kama title ilivyojieleza. Karibuni tukutane hapa.
10 Reactions
331 Replies
28K Views
Asalaam aleykhum wanaJF, Tuzo za Afrimma 2020 zinatarajiwa kufanyika mwaka huu, tayari wameshatoa majina ya nominees na vipengele vyote. Kitu pekee nilichokipenda ni jinsi ambavyo wamezigawa tuzo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtoto wa Mwarabu mhamiaji aliyeitikisa Nchi kwa muziki MOJA kati ya matukio ambayo wakazi wa Morogoro na Tanzania kwa ujumla hawatoyasahau ni kuondokewa na mwanamuziki bora sana kitaifa, Salum...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
KINU CHA MAMA Mussa N. Abubakari UTANGULIZI. Hii ni bunilizi tu. Usijaribu kugeuza maoni kuwa ukweli na kuharibu maisha ya watu. ZINDUKO; Moja ni jibu, Ngono hutibu. 1. Romantic Star Alishuka...
3 Reactions
29 Replies
114K Views
Kama nimkongwe fatilia biti alotumia Harmonize kwenye wimbo wake wa jeshi utasikia biti moja kali sana linasikika ambalo alishawahi kulitumia Chege na temba kwenye wimbo wao wa twenzetu kasoro ye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa anayeifahamu hii movie msaada jamani wa jina lake
0 Reactions
4 Replies
789 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…