Jana nimemka na weekend vibe nikasema embu kwanza nicheki muvi kali niliyo download
Ee bwana kuwasha gafla nakuta kumbe imetafsiriwa nikasema ewaaaaa bora ata nisichoshe akili kusoma sub title...
Ndani ya mwaka huu 2020 tumeshuhudia miamba ya muziki kutoka nchini Nigeria Burna boy,wizkid na Davido wakiachia album zao kwa nyakati tofauti akianza Burna boy na album yake ya ''Twice as tall''...
Habari wadau.
Leo nimesikiliza tena wimbo ya Roma uitwayo Mr.President (link hiyo hapo chini), Huu wimbo una ujumbe mzito sana ambao Roma aliulenga moja kwa moja kwa Raisi wa awamu ya nne na...
Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi 😫😀😀
Wazee list...
Ninaishi Kimara Ova. Nasikia live bendi moja miezi au yapata mwaka sasa..
Kabla ya bendi hii, walikuwa wakipiga MAD --J Ninawaheshimu sana wale MadJ
Kwa anaehusika na hii lounge, hawa live...
One Love, one heart.
Let's get together and feel all right.
Hear the children crying. (One love.)
Hear the children crying. (One heart.) Sayin',
"Give thanks and praise to the Lord and I will feel...
Wakuu umeona ujio wa Davido???
Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo)
Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17.
Chris Brown,Nick...
Leo ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki maarufu duniani kote kutoka Jamaica
Jina lake kamili ni Glendale Goshia Gordon ila anajulikana zaidi kama busy Signal ambae alizaliwa tarehe 24 jan 1982 huko...
Kuna vita ya maneno kati ya Davido na Burnaboy, baada ya Davido kusema yeye na Wizkid ndiyo wasanii wakubwa wa muda wote.
Sasa Burnaboy ameijibu kauli hiyo ya Davido kwa kusema "Kila mtu anajua...
Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua...
Wanajamvi, nakuja kwenu kutaka msaada kwa wataalamu wa fasihi kuhusu ujumbe uliomo katika wimbo uliotajwa hapo juu. Kiukweli Mrisho Mpoto namkubali sana kwa mashairi yake - tatizo tu sipati ujumbe...
Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S.
Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
habari wakuu,
Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos)
Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo...
Anaitwa Usain Bolt
Ni mwanariadha, anauwezo wa kukimbia kwa wastani wa mita kumi(10m) kwa sekunde(1sec)
Yaani uwezo wake hukimbia mita 100(100m) kwa mda wa sekunde kumi(10sec) sawa na uwanja mmoja...
Huyu jamaa aliyetengeneza Hii filamu nikiri kamwe hatokuja kutengeneza filamu nyingine tena kama Hii. Kuna GENTLEMAN humo anaitwa john krammer nilimvulia kofia.
Kwanza filamu kiujumla inmhusu...