RIWAYA : Kitisho
Sehemu Ya Kwanza (1)
Mbowe club saa 1:23 usiku
RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha...
"Mwambie yule mtoto moto huu haingii hapa,kitonga atakachopa ni Wi-Fi tu,labda apate sare nimeanza na plan b,flow zake imekataliwa kama kinga iliyovaliwa ,.
.....kudadeki Young lunya yuko vizuri...
Salaam wapendwa.Kama heading inavyosomeka hapo juu,mwenye huo wimbo wa Ras Lion (huyu wa wa2ku2) anisaidie tafadhali,nimekumbuka nyimbo za zamani mnoooo.AHSANTENI
Naona kabisa moja Kati ya redio iliokuwa na power Sana kwenye enteinment Ni hii.Ukiangalia miaka ya nyuma ukipita nyumba 7 basi Kati ya hizo 5 utakuta zinasikiliza clouds fm ila kwasasa hiv Hali...
Mwigizaji Brahmanandam kutoka India ndiye mwigizaji anaeshikilia Rekodi ya Guinness Book yakua mwigizaji aliye onekana katika filamu nyingi zaidi duniani ,
Brahmanandam ameonekana kwenye filamu...
Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi?
Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?
Hollywood ni makazi pendwa sana ya watu maarufu huko Marekani na sio kuwa maarufu, na hata kwa matajiri mbali mbali duniani Hollywood it's a place to live na hasa Beverly Hills. Na hapa naomba...
Kwa kutumia vigezo vya Tuzo za ndani na nje ya Afrika, Mauzo ya Album, Show kali za kimataifa (matamasha makubwa), Hits n.k
Unafikiri nani msanii bora wa Afrika kwa sasa?
Poleee dear ex mwenzako nipo salamaa,
Mambo ya mastress nishasahau hizo zamaa,
Alafu sizeeki nadekezwa utadhani mwana,
Tena mchoyo hakiombeki penzi sio la kugawana,
Ujinga wakuombana password za...
Why should love
I love you
Is just a sentence
Contains there words
But why it becomes so toxic
They say love is everything
They say live without love
Is like garden without flower
And the...
Habar Wana jamiforums
Kama head inavyo someka apo Leo Nina machache ya kuuliza kama itakua ni mimi ambae sijaelewa pia mnaweza kunielewesha
Leo napenda kuongelea ili swala la mchakato wa Simba...
Mimi sio mpenda miziki kivile kama ila hawajamaa muda wote wapo busy na miziki 24/7 hawana story wala matangazo wao ni burudani tu tena ile ya kiwango cha juu sana nahisi madjv wao wako moto sana...
Mtunzi Nyemo Chilongani
Sehemu ya 01
"Catherine upo wapi?” ilisikika sauti ya msichana kwenye simu.
“Nyumbani! Kuna nini?”
“Unalala?”
“Ndiyo!”
“Mapema yote hii? Yaani na hili baridi la Arusha...
DJs huwa vigezo gani unafuata kuweka playlist yako? Unatumia njia zipi maana kila Mtu ana njia zake.
Ama huwa unatoa ngoma kichwani kama mafuvu?
Cc Smart Guy
Huyu Dj namkubali sanaa, anajua anachokifanya.
-Anaepuka matusi kwenye kazi.
-Sauti yake inavutia kusikiliza.
-Anatoa ushauri wa kimaisha anapotafsiri movie
Na mengine mengi.
Binafsi nampa...
Sanaa ni ubunifu
Ni kipaji
Ni uwezo
Ni taaluma
Lakini kuna watu wanachukua kazi za watu flan au wanaziedit kwa asilimia flan ndogo sana na kuzifanya zao bila kutoa credits kwa wahusika...
Sasa nachua break kupost yale mambo yetu na narudi kwenye mamabo ya ki BRAZAMEN
sasa kazi kwenu ma bloggers wa kibongo kuja kunyonya vitu toka humu
Kwanza Nyonyeni VIDEO hii hapa ya MNYAMWEZI...
sema hii album ya Timaya ya moto asee kuna ngoma kama
Chulo bothers no body
Something must kill a man
Don dada
Born to win
Na ngoma nyingine kibao afu mshikaj kaimba alone afu zote za Moto
Mi...
Habari wakuu na poleni na majukumu
Nimekua mpenzi sna wa kipindi cha The Story Book cha Wasafi Media
Nilikua nimevutiwa sna na umahiri wa msimuliaji Mtiga Abdallah. Alikifanya kipindi kikapedwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.