Je ni Burna Boy, Wizkid au Davido?

Je ni Burna Boy, Wizkid au Davido?

El murjeb

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2019
Posts
483
Reaction score
2,126
Ndani ya mwaka huu 2020 tumeshuhudia miamba ya muziki kutoka nchini Nigeria Burna boy,wizkid na Davido wakiachia album zao kwa nyakati tofauti akianza Burna boy na album yake ya ''Twice as tall''
yenye ngoma 15 then akafuatia wizkid akaachia ''Made in Lagos(MIL)'' yenye ngoma 14 halafu Davido nae juzi kaachia yake ''A BETTER TIME''

Kama umepata nafasi ya kuzisikiliza zote unaweka kupita hapa na kuacha comment yako kuhusu album hizi,,je IPI ni Kali kuzifunika zote,,,

View attachment 1626998View attachment 1626999
IMG_20201115_182927_042.jpg
 
Back
Top Bottom