Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,934
- 96,038
Leo ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki maarufu duniani kote kutoka Jamaica
Jina lake kamili ni Glendale Goshia Gordon ila anajulikana zaidi kama busy Signal ambae alizaliwa tarehe 24 jan 1982 huko nchini Jamaica.
Wengi wanamjua zaidi kwa kibao chake cha Night shift / One more night
Happy Birthday Busy Signal