Wizkidayo Starboy

Pass Master

Member
Sep 18, 2020
94
58
Wakuu kwema? Poleni na majukumu ya hapa na pale.

Kwa wasikilizaji na wapenda muziki wa Afrika,Mmeuona ujio wa Star Boy Wizkid(Made In Lagos)

Album yake ya MADE IN LAGOS ambayo kwa sasa ni gumzo WorldWide inakimbiza kinoma noma ikiwa na midundo 14..

Imeingia hadi kwenye top10 za Spotify album inayofanya vizuri hakuna Album kutokea Afrika iliyowahi kufanya hivyo(tazama kwenye picha hapo chini)

Imeachiwa juzi tu Lkn ina-Streaming milion 20 kwenye Audiomack Inakimbiza kwenye Spotify,Apple,Youtube n.k.

Hii inaweza kuwa Album ya Wizkid itakayomletea mafanikio zaidi ukiachana na Album zake zilizowahi kupita kama Ayo,Superstar,Sound from the other side ya 2017.

Nimeisikiliza ngoma zote🔥🔥🔥 Lakini zilizonikamata zaidi ni..

1.Ginger ft BurnaBoy(audio ishafikisha views milion moja youtube,Apple. Blessed ft Damia Marley, pia imefanya hivyo Youtube
2.No Stress
3.Smile ft H.E.R
4.Roma ft Terry
5.True Love
6.Longtime ft Skepta
7.Piece of Me ft Ella Main(hii ndio namba moja kwangu ni mdundo hatari)

Ni muda wasanii wetu kutengeneza Album zivuke mipaka yetu (WorldWide)

Wangapi tulipata muda wa kuipa sikio MADE IN LAGOS? ya Star Boy

#Forgive Me
 

Attachments

  • officialjaylondon-2020_11_02_14_06.jpg
    officialjaylondon-2020_11_02_14_06.jpg
    55.9 KB · Views: 2
  • wizkidnews-2020_11_03_01_11-1.jpg
    wizkidnews-2020_11_03_01_11-1.jpg
    28.8 KB · Views: 2
Album kali na ukisikiliza unaisikua pure afro beat mim ngoma ninayoikubal ni essence alimshirikisha terms
 
Muda sio mrefu utaona wasanii wetu tunakwategemea bongo nao wanapita kweny beat hizo hizo
 
Hivi boomplay ni ya wapi, na je inatambulika kimataifa? Mbona sijawahi sikia wasanii wakubwa wakiiongelea? Audiomack je?
Hivi una data za wasanii wetu Huko Spotify? Come Closer ya Wizkid ilifikisha Streaming milion 98 Huko Spotify....Wanalipa mara 3 ya Youtube😀😀😀😀
 
Hivi una data za wasanii wetu Huko Spotify? Come Closer ya Wizkid ilifikisha Streaming milion 98 Huko Spotify....Wanalipa mara 3 ya Youtube
Wasanii wetu sijui kama wako huko, wao wanavimba boomplay Zuchu anashika namba moja Africa
 
Halafu hivi Sportify naipataje? Maana kila nikijaribu wanasema haiko available kwenye region yangu
 
Album mbovu tu. Nyimbo kali alioimba na burna boy to. I have a good ear to good sounds but in this album 80% wack sounds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom