Davido na Burnaboy watupiana vijembe ya nani msanii bora Afrika

Mbobo

JF-Expert Member
Jan 13, 2017
1,380
1,800
Kuna vita ya maneno kati ya Davido na Burnaboy, baada ya Davido kusema yeye na Wizkid ndiyo wasanii wakubwa wa muda wote.

Sasa Burnaboy ameijibu kauli hiyo ya Davido kwa kusema "Kila mtu anajua huwezi kucheza mpira unatutia aibu kwenye timu, ila baba yako amekununua"

Je wadau wa JF ni kweli asemayo Davido?

FB_IMG_1590318388586.jpeg

Sent using motorola
 
Kuna vita ya maneno kati ya Davido na Burnaboy, baada ya Davido kusema yeye na Wizkid ndiyo wasanii wakubwa wa muda wote.

Sasa Burnaboy ameijibu kauli hiyo ya Davido kwa kusema "Kila mtu anajua huwezi kucheza mpira unatutia aibu kwenye timu, ila baba yako amekununua"

Je wadau wa JF ni kweli asemayo Davido?View attachment 1458378

Sent using motorola
Diamond na Harmonize wanasemaje ?
 
Diamond na Harmonize wanasemaje ?
I go die sifahamu anasemaje. Ila kuhusu diamond anadai anajitaidi kupambana kufika mwakani angalau awe top 3 pale juu.

Sent using motorola
 
Davido anajua ila mnafki
Burna pia anajua tatizo kiburi na mjeuri
Wizzy anajua ila still HUMBLE
Hiyo ndo tofauti yao
Basi ndio maana burnaboy yupo kwenye game kitambo, ila amechelewa kutoboa.

Davido ana ego sana, kwa wizkid nakubali

Sent using motorola
 
Back
Top Bottom