Nitapata wapi hii movie ya kichina The Magic Box.?

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
habari wakuu,

Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au kuidownload.

Channel10 wanazingua wanaiplay wakijiskia mara waonyeshe nusu nusu wakate mara waje EP 2 kesho ukianangalia imeshafika EP 7.

sample yake hii hapa




kama ikipatikana kwa lugha yoyote ile kichina, kiingereza hata ikiwa ivyo ya kiswahili nitashukuru
 
Back
Top Bottom