Nyimbo zenye ujumbe mzito sana

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Habari wadau.

Leo nimesikiliza tena wimbo ya Roma uitwayo Mr.President (link hiyo hapo chini), Huu wimbo una ujumbe mzito sana ambao Roma aliulenga moja kwa moja kwa Raisi wa awamu ya nne na serikali yake.

Mdau kuna wimbo gani ambao uliwahi kuusikiliza ambao una ujumbe mzito na ungependa wadau wengine tuufahamu.

Andika jina la wimbo na msanii...



Karibu
 
Eyo ticha nimesimama hayashime, natisha naposhika mike kama masai kashika sime../

Nawasha washa sasa imewaka nani azime, naokota tanga naua mwanza zika tarime.../

Push rythms kama mjani man wanaelewa, mi na rap na nikama zambi niliyopewa.../

Flani na flani wanaelewa, hawataki tu kusema sauti hewani mtaani sionekani kama hewa.../

Dizasta vina ndio future yako, ni kijogoo uliyemkwepa mtaani halafu ukamkuta kwako...Mi ni kama kumbukumbu ya torati kutoka mwanzo yohana ayubu luka marko.../

kudadadeki hamnipi taji homie, maana huu ujio ni kama bogie ama radi homie..../

Niko kitambo na sihitaji hodi, wala sipingwi ka zinavyopingwa itikadi za kibabilon.../

Aah mnapata uhondo nakili, mjeshi nazalisha rythms kama uoto wa asili.../

Najua sana mwana inakupasa ukasome, na hii waswahili wanaita mwana ukome..../

Dizasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom