Hard to choose thread nimeona niwashirikishe wakuu tuanze na ipi hapa?

DEATH ROW RECORDS VS RUFF RYDERS RECORDS

  • RUFF RYDERS

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .

I_manyota

Member
Aug 15, 2012
47
125
Naandika nafuta maana nikiandika hii nyingine inakuja naona kama iko mzuka kuanza nayo nikitaka kuanza nyingine inakuja sasa nimekaa hapa hata sielewi nianze ipi nimalize na ipi ๐Ÿ˜ซ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Wazee list yenyewe hii hapa inayovuruga kichwa​
  1. Quincy Jones - Producer nambari moja dunia kwa upande wangu, yep huyu babu bwana alichokifanya kwenye muziki hakuna binadamu ambaye atakuja kuvunja rekodi zake haonekani kuwepo yani.Kwa haraka haraka mzee anashikilia rekodi ya kuwa mtu wa pili mwenye tuzo nyingi za Grammy na mtu pekee aliye hai mwenye tuzo nyingi za Grammy's, you feel me?, sidhani kama kuna tuzo yoyote inajielewa huyu mzee hajaichukua enzi zake. Mzee yupo kwenye game kwa zaidi ya miaka sitini sasa, mzee amefanya album 47 katika categories tofauti ikiwemo album bora ya muda wote Thriller ya Michael Jackson na ile nyimbo bora ya muda wote We are the world hakuna binadamu atayezaliwa aje aseme hizo kazi ni za kawaida tutakufunga maisha๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž. Huyu mzee file lake kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

4b3a8492d32cbd52e6bab564ac8f0896fb-06-quincy-jones-feature.rvertical.w570.jpg
635579920514249816-we_2790097_ver1.0.jpg
gettyimages-50381497-1024x1024.jpg
GettyImages-563605545.jpg
The Rise and Fall of DEATH ROW Records - Huwezi kuongelea muziki wa Hip-hop bila kuitaja Death Row yaani sijui kama kuna mtu atakuelewa unachokiongea maana utataka kumtaja 2Pac, Notorious B.I.G, Dr Dre, Snoop doog, Nate Dogg, Corrupt , Bad boys na Puff Daddy wao huwezi bila kuitamka Death row na wengine wengi. Death row ilikua ni game changer katika Hip-hop kutoka Hardcore Rap hadi Gangsta Rap.Yeah kuna tofauti kati ya gangsta na hardcore Rap. LA Los Angels City of Angeles, City of all Watts, Compton,Long beach na mitaa mingine mingi. Suge Khight alikua CEO na mwanzilishi wa label hiyo iliyosumbua sana miaka ya tisini hukoo.Hyu mjuba bwana kichwa chake anakijua mwenyewe kwanza jamaa ni mtata na alikua member wa gang la blood gang, Los angeles kuna Black Gang mbili zilikua hasimu sana BLOOD NA CRIP GANG hizi kundi zilikua azikai chungu kimoja kabisa japo kuna mambo walikua wanafanya vinafanana maana walikua ni washikaji wa street moja, anyways hyo nayo nitawapa. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ. Mzee baba aliwapiga mkwanja wasanii wake bhana hii ni moja ya sababu kuu ya kundi hili kuvunjika japo kuna zingine za mabifu utemi uliopitiliza yani unyama unyama watu kamamko dafur mnaka kwa wasiwasi.Jamaa aliwanyonya sana washkaji kinomaa sana hii nayo uzi wake ni mrefu mno maana humu ndani utamuongelaDr dre, Tupac, Snoop dogg na wengine wengine. Thread itakua na life story ya Death Row yenyewe na wasanii wake wakali kina tupac, snoop, dre beef zao na East Cost kina BIG na P Diddy na hata kifo cha Tupac visanga vingi walivyokutana navyo wasanii kina Snoop na kesi za mauaji. Ilikuaje wakachomoka nk

download (1).jpg
article-sugebio-0130x.jpg
sugeknight-2.jpg
rs-201733-GettyImages-51484796.jpgThe Rise and Fall of Ruff Ryders- Yep hii pia ni record label kubwa sana na imefanya makubwa pia kwenye hipho industrial miaka ya 2000's, imeusika pia kuwatoa wanamuziki wengi waliotikisa soko kipindi hicho kama DMX,EVE E,Swizz Beats Jadakiss akiwa na kundi la The LOX nk. japo DMX , Swizz Beats na Eve ndio wasanii walioifanya Ruff Ryders kuwa juu kiase kile.
Wakali wa New York hawa pande za Yonkers kwa watukutu huko ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ , wakina DMX haoalikua anapora watu na mbwa, jamaa anakuja na bulldog ukizingua anakusakizia inabidi uwe mpole tu. Thread hii itakua na story kuhus Ruff Ryders yenyewe na waliowahi kuwa wasanii wake wakali kina MDX Swizz Beats na EVE


Ruff_Ryders_Logo.jpg
pxqn9w35xr0aajukvtsk.8.jpg
mmoja wa waanzilisha na mmiliki wa ruff ryders ent
vNPg5F.jpg
b024c96d9363f3cb10bada3ffbd0a1cb.jpg
Academy_Awards_afterparty_CUN_DMX.jpg


Mimi kwa heshima ya Quincy Jones tuache tu apite tubaki na hawa wawili basi au vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom