Album ya Davido

Album ya Davido

Pass Master

Member
Joined
Sep 18, 2020
Posts
94
Reaction score
61
Wakuu umeona ujio wa Davido???

Baada ya hasimu wake kuachia Album ya Made In Lagos(Wizkidayo)

Mtu mzima Davido ameachia Album yake ya A Better time ikiwa na ngoma 17.

Chris Brown,Nick Minaj,Young Thung na Nas wasanii wakimataifa walioshiriki humo..

Afrika mashariki Sauti Soul tu ndio wameshiriki,kumbuka Sauti Soul walikuwepo kwenye Album ya Patoranking,Burna Boy leo hii kwa mtu mzima Davido🙌

Wangapi tumebahatika kuipa sikio???
images.jpeg
 
Sauti Sal Hawa Jamaa Wanakimbiza Mwizi Kimya Kimya.

Wangekuwa wanatokea bongo hao promo ingekuwa kila corner!
 
Back
Top Bottom