Nataja baadhi of course Kenny Rogers lazima awe hapo.
kuna Kina Luke Bryan, Brett Young, Jack owen, Blake Shelton, Doly parton... etc
Hebu dondosha ngoma hapo
Brett Young ...Incase you didn’t...
riwaya: MUUAJI ALIYEBAKIA
Mtunzi: RAYMOND MWALONGO
Sehemu ya 1
Ilikuwa Ijumaa ya tarehe kumi mwezi
Desemba ambayo hali yake ya hewa ilikuwa
tulivu kabisa. Nyakati hizo za...
Habarini wadau. Naomba kujua jina la hii movie.star wa ile picha anaitwa jonathan gabot(sina uhakika na spelling),ni picha flan ya kifalme ambapo jamaa wanapewa mitihani mingi halaf mshindi...
Wakuu huu uzi nimefungua special kwa watu wenye ulevi wa kucheza video games. ESPECIALLY PS4 FIFA 21 AND XBOX ONE.
Hizo hapo chini ni skills moves kutona na nyota za mchezaji sio kila mchezaji...
TEARS OF THE SOUL (MACHOZI YA ROHONI)- 1
Mtunzi: Aziz Hashim (Hash Power)
NB: UNAWEZA KUIPATA SIMULIZI HII TAMU KUANZIA MWANZO
MPAKA MWISHO KWA MFUMO WA e-Book (PDF)
UTAKAYOISOMA KWENYE SIMU...
Album ya Rayvanny "Sound from Africa" uchambuzi, ratings!!, cons and pros, Karibu.
Raymond Shabani Mwakyusa a.k.a Rayvanny kaachia album yake ya kwanza toka anze Carrier yake ya muziki miaka...
Habari ndiyo hiyo, stori iliyoanzia humu ya bwana LwandaMagere rasmi imeanza kusikika leo Radio Free Africa, RFA na ameianzia mwanzo kabisa toka wako Tarime ambapo housegirl Ashura alifanya...
Habari za muda huu!!
Natumaini tunaendelea kuchukua taadhari na kujifukiza ili kupambana na corona,kwenye ile mitano tena ndo kwanzaaaa tunaanza na tayari kuna dalili ikawa 20 tena😂😂😂...
TAIFA LA MOYO WA SHETANI.
NA..............HEMED MAYUGU.
NO................(01).
WHATSAPP.......0755577488.
SHARE NYINGI NDIYO FURSA YA KUIFURAHIA KILA
SIKU.
NAOMBA KU-SHARE KWA WINGI.
Ilikuwa...
Sitakuomba radhi na nitangaze rasmi kuhusu kile ambacho naenda kunena kuhusu wewe. Nikikosea na ndio kawaida ya binadamu mimi ni mwanadamu lazima nikosee na mimi siyo wa kwanza watangulizi wetu...
Ilikuwa ni wiki tuu mimi na familia yetu tukiwa tumeamia katika makazi mapya kwakua sikua na rafiki wa kuongea nae basi nilipenda kwenda kukaa mbele ya nyumba yetu kwani kulikua na mti wenye...
ANGALIZO kwa Msanii MARIO.
MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai...
Hii ni series ya kizungu inayohusiana na baadhi ya polisi kupata hela za magendo tofauti na mshahara wanaolipwa kihalali na Serikali wanachokifanya wanaficha hela hizo magendo kwenye magodown na...